Thursday, September 9, 2010

WABONGO WANAONG'ARA SWEDEN KATIKA MCHEZO WA SOKA.


Watanzania watatu wanaong'ara ndani ya sweden katika mchezo wa soka, na huku waipelekea klabu hiyo wanayochezea kuchukua ubingwa. Tukianza na kaka yao ATHUMAN MACHUPA ambaye ameshika kombe, akifuatiwa na BEKA MLENGE a.k.a CHITOTOO kulia kwake, bila kumsahau YUSUPH FABO akiwa upande wa kulia wa beka mulenge.

KIMBIZA KIMBIZA MWANA.


Star Wa soka kutoka bongo akiwa ndani ya sweden, Pembeni ana mtoto mkali ambaye angukua bado asingeweza kumpata mpaka anakufa endapo angukua bado anacheza soka bongo. Ama kweli mpira mbele na sio bongo. Kla maisha kaka, Big Up YUSUFU FABO.

Wednesday, September 1, 2010

Sebastien Squillaci signs for Arsenal


Arsenal have made their third signing of the summer.

French international defender Sebastien Squillaci has joined the Gunners from Sevilla on a long-term contract for an undisclosed fee.

Below are all the news stories about the latest addition to Arsène Wenger's squad.

Wednesday, April 28, 2010

BAKARI MULENGE, NA MAKALAD FULAN, YESS YES


Yes Yes mwana wakimbize kama kawaida yetu wabongo katika mambo fulani.

BEKA MULENGE, KUSHOTO NA MASELA WAKE.


wANYAMWEZI WAKIWA WANASHUKA NA NGAZI YA LIFTI. NGAZI HII KWA HUKU BONGO HUPATIKANA SEHEMU CHACHE SANA, AIR PORT NA SHOPAZ PLAZA NA MAOTELI YA KIMATAIFA. LAKINI KWA WENZETU NI VITU VYA KAWAIDA SANA.

BEKA MULENGE WA UKWELI, TOKA AZAM FC MPAKA SWEDEN.


Mtoto wa friends Ranger Ndan ya Sweden katika shughuli zake za kimpira. Ama kweli mpira unalipa likini sio bongo. Kaza uzi kaka.

TOKA DAR MPAKA MOSCOW, BIG UP FIDOULAS


Nimekubali kaka, kwa mapenzi ya kweli kwa mtoto. Na pia kumpa historia mtoto wenu kwa kuzaliwa 'UP STEAZ'. Sisi tupo tunalisongesha. Mtaa had mtaa.